Vijana wanaotaraji kuingia darasa la saba Mwaka 2023 watakiwa kusoma kwa bidii na kuepuka vitendo vya rushwa kwenye mitihani. Nao kwa pamoja wameahidi kuwa mabalozi katika kuelemisha wenzao na kutoa taarifa za vitendo vya rushwa TAKUKURU. TAKUKURU Mwanza, DISEMBA 29, 2022.