Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ahutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, maadhimisho yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini (Picha na Ikulu)
📆16 Disemba 2022.
📍Zanzibar Beach Resort,Mazizini,Zanzibar.