“…Rushwa ni zaidi ya hongo. Inajumuisha makosa mengi zaidi yakiwemo ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka. Hivyo wananchi wanatakiwa kufahamu zaidi dhana hii na ndio maana tupo hapa katika Maadhimisho ili tuweze kuwaelimisha na kuwafikia wananchi wengi zaidi…” Bibi. Neema Mwakalyelye, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dodoma Disemba 6, 2022.