Hapa ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni na msafara wake, walipotembelea ofisi za Transparency International tawi la Rwanda. Pichani juu kulia ni Mkurugenzi Mkuu akikabidhi ‘souvenirs’ kwa Chairperson wa TI – Rwanda Ms. Marie Immaculee Ingabire, katika ofisi hizo Oktoba 18, 2022
