“…Wananchi wanastahili kufahamu kwa wakati, ni nini Serikali yao inafanya. Aidha, inapotokea sintofahamu kwenye Taasisi yoyote ile ni muhimu wananchi wakajulishwa kilichotokea na ni nini kitafanyika kuimaliza sintofahamu hiyo…” amesema Zamaradi Kawawa, Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari (MAELEZO), aliyesimama picha ya pili, wakati akiiwezesha Kamati ya TAKUKURU iliyoundwa kuandaa Mkakati wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa TAKUKURU, Septemba 28, 2022