Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye, ametembelea Mradi wa ujenzi wa karakana (garage) ya TAKUKURU Makao Makuu. Ziara hii imefanyika Agosti 4, 2022 jijini Dodoma ambapo pia ameongozana na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki TAKUKURU Mha. Dkt. Emmanuel Kiyabo.