Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilifanya utafiti kuhusu Hali ya Utawala na Rushwa (National Governance and Corruption Survey – NGACS) Tanzania Bara.
Matokeo ya utafiti yamechapwa katika juzuu nne (4) kwa kuzingatia makundi ya waliohusishwa katika utafiti: Taarifa Kuu (Main Report), Taarifa ya Utafiti wa Kaya (Households Survey), Taarifa ya Utafiti wa Watumishi wa Umma (Public Officials Survey) na Taarifa ya Utafiti wa Wafanyabiashara (Enterprises Survey).
Matokeo ya utafiti yanabainisha, pamoja na mambo mengine, kufaa kwa viashiria (indicators) vilivyoandaliwa hapa nchini mwaka 2017 katika kupima rushwa na maendeleo ya mapambano dhidi ya rushwa.
NGACS 2020 Vol 1 – Analysis of Main Findings, Conclusions and Recommendations
NGACS 2020 Vol 2 – Households Survey