Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, akiwa na Mhe. Dkt. Jilly Elibariki Maleko, Balozi wa Tanzania Nchini Burundi. Mkurugenzi Mkuu alifika katika ofisi za Ubalozi huo zilizopo Bujumbura – Burundi Juni 21, 2022 kwa lengo la kujitambulisha.