ZIARA

Viongozi wa TAKUKURU na ZAECA wamefanya ziara ya kumtembelea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Aprili 11, 2022 katika ofisi ya Wizara hiyo Jijini Dodoma.

Taarifa kwa Umma