Aprili 12, 2022, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) alisaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (Memorandum of Understanding) na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar – ZAECA ya utekelezaji wa majukumu ya msingi wanayosimamia ili kudhibiti mianya na kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa Tanzania.