Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Rashid Hamduni, alipomtembelea ofisini kwake Mei 16, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA
NA RUSHWA
1 Mtaa wa TAKUKURU,
S. L. P 1291
41101 DODOMA, Tanzania
Simu: (026) 2323316
Nukushi: (026) 2323332