Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi. Neema Mwakalyelye pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA ACP. Ahmed Khamis Mkarani Bungeni Jijini Dodoma, Aprili 12, 2022.