TAKUKURU Inawatafuta watuhumiwa walioko kwenye ukurasa huu kutokana na Makosa mbalimbali ya Rushwa wanayokabiliwa nayo, hivyo inaomba ushirikiano kutoka kwenu wananchi katika kufanikisha upatikanaji wa Watuhumiwa hawa.
NAMBA YA KESI: | CRIMINAL CASE No. 28 OF 2019 |
MKOA: | DAR ES SALAAM |
KOSA: | MONEY LAUNDERING C/S 12 (d) and 13 (a) of the ANTI MONEY LAUNDERING ACT NO. 12/2006 |
JALADA: | PCCB/KGR/ENQ/20/2012 |
KESI NA: | CC 27/2016 |
MKOA: KOSA: | KAGERA UFUJAJI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA |