Orodha ya Watuhumiwa wa makosa ya Rushwa waliohukumiwa adhabu mbalimbali zikiwemo faini au kutumikia kifungo jela wanapatikana kwenye ukurasa huu.

JINA LA MSHITAKIWA: | MWITA CHACHA KIRITO |
JINSIA (ME/KE): | ME |
KAZI ANAYOFANYA: | KIONGOZI WA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA TARIME |
MKOA/ WILAYA: | TARIME, MARA |
URAIA: | MTANZANIA |
MWAKA WA KUZALIWA: | 1992 |
NAMBA YA KITAMBULISHO: | – |
NAMBA YA JALADA: | PCCB/MU/ENQ/15/2017 |
NAMBA YA KESI: | CC.157/2017 |
MAELEZO YA KOSA: | KUOMBA HONGO TSHS 15,000 ILI ASIMPELEKE MTOA TAARIFA KITUO CHA POLISI BAADA YA KUMKAMATA AKIWA ANAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) ILIYOKUWA NA PLATE NAMBA NUSU. |
KIFUNGU CHA SHERIA: | K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007. |
JINA LA MAHAKAMA: | MAHAKAMA YA WILAYA – TARIME |
TAREHE YA HUKUMU: | 11.1.2019 |
ADHABU ILIYOTOLEWA: | FAINI TSH. 500,000 AU KIFUNGO CHA MIAKA |

JINA LA MSHITAKIWA: | FIDELIS OMACH |
JINSIA (ME/KE): | ME |
KAZI ANAYOFANYA: | MUHUDUMU WA MAHAKAMA YA MWANZO RYAGORO |
MKOA/ WILAYA: | RORYA, MARA |
URAIA: | MTANZANIA |
NAMBA YA KITAMBULISHO: | – |
NAMBA YA JALADA: | PCCB/MU/ENQ/24/2017 |
NAMBA YA KESI: | RMCC.01/2017 |
MAELEZO YA KOSA: | KUPOKEA HONGO TSHS 150,000 ILI AMSAIDIE MTOA TAARIFA KUFUTIWA MASHTAKA YALIYOKUWA YANAMKABILI. |
KIFUNGU CHA SHERIA: | K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007. |
JINA LA MAHAKAMA: | MAHAKAMA YA WILAYA -TARIME |
TAREHE YA HUKUMU: | 06.12.2018 |
ADHABU ILIYOTOLEWA: | KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA AU FAINI YA TSH. 250,000/=. |

JINA LA MSHITAKIWA: | BONIPHACE ALEXANDER NYANDOTO |
JINSIA (ME/KE): | ME |
KAZI ANAYOFANYA: | MFANYABIAHARA KIJIJI CHA KYAMWAME |
MKOA/ WILAYA: | RORYA, MARA |
URAIA: | MTANZANIA |
NAMBA YA KITAMBULISHO: | – |
NAMBA YA JALADA: | PCCB/MU/ENQ/30/2018 |
NAMBA YA KESI: | CC.551/2018 |
MAELEZO YA KOSA: | KUTOA HONGO TSHS 50,000 ILI ASAIDIWE KATIKA UPELELEZI WA TAARIFA ALIYOTOA KITUO CHA POLISI KINESI. |
KIFUNGU CHA SHERIA: | K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007. |
JINA LA MAHAKAMA: | MAHAKAMA YA WILAYA -TARIME |
TAREHE YA HUKUMU: | 30.05.2019 |
ADHABU ILIYOTOLEWA: | KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA AU FAINI YA TSH. 200,000/=. |