Machi 30, 2022, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni, alikabidhi TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA TAKUKURU KWA MWAKA 2020/21 kwa Mhe. Rais.
Taarifa iliyowasilishwa imegawanyika katika maeneo makuu manne (4) yafuatayo:-
- Uzuiaji Rushwa;
- Uelimishaji Umma;
- Uchunguzi na Huduma za Sheria;
- Ushirikiano na Wadau katika Mapambano dhidi ya Rushwa.