KUMKABIDHI MLEZI, MWONGOZO WA KUFUNDISHA VIJANA WA SKAUTI

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mwongozo wa Kuwawezesha na Kuwafundisha Vijana wa Skauti jinsi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mlezi wa Skauti Tanzania yaliyoadhimishwa Oktoba 2, 2021 katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Taarifa kwa Umma

KUTOKA MAHAKAMANI TAKUKURU ILALA: