Mapambano ya Rushwa Kimataifa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkuerugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Cyprian Mpemba, kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka. Mshtakiwa alifikishwa mahakamani Oktoba 13, 2017 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha, Sofia Masati, ambapo alisomewa shtaka na mwendesha mashtaka […]