Toa Taarifa ya Tuhuma za Rushwa Kwa kujaza Fomu Hii

VIONGOZI WA EAAACA WATEMBELEA TAKUKURU

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU,Valentino Mlowola ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa Afrika Mashariki (EAAACA) akibadilishana uzoefu na viongozi wa Mamlaka hizo walipomtembelea ofisini kwake Machi 28, 2017. Kutoka kulia kwake ni Johny Saverio (Sudani kusini); Halakhe Waqo (Kenya); Bi Irene Mlyagonja (Uganda);Wedo Aho (Ethiopia);na Bi Munira Ali (Kaimu Katibu Mkuu EAAACA).
.