Ratiba ya vipindi vya redio tarehe 16.06.2016 na 18.06.2016

TAREHE YA KURUSHA KIPINDI KITUO CHA REDIO MADA MSHIRIKI WA KIPINDI
16.6.2016 SIBUKA FM Sheria Inamlindaje Mtoa Taarifa na Shahidi? Mwanasheria – Bw. Fidelis Kiula
18.6.2016 TBC Taifa Shime Vijana Pambana na Rushwa Bi. Maria Kayombo Afisa Mradi wa Asasi ya Maendeleo ya Vijana (YPC)