Waziri wa Sheria na Katiba azindua wiki ya Huduma kwa wananchi

Baadhi ya viongozi waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wananchi uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Maadilina Haki za Binadamu 2016.
Wananchi na watumishi wa umma wakifuatilia hotuba ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wananchi uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Desemba 5,2016 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu kwenyeViwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Harrison Mwakyembe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wananchi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni katika banda la TAKUKURU baada ya kuzindua Wiki ya Huduma kwa Wananchi kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Desemba 5, ya Maadili na Haki za Binadamu mwaka 2016
Waziri wa Katibana Sheria, Mhe. Harrison Mwakyembe akisikiliza maelezo kutoka kwa Bw. Victor Swela kuhusu huduma zitolewazo na TAKUKURU wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wananchi kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016.