Wadau wa kupambana na ujangili Msumbiji watembelea TAKUKURU

Wadau wa Kupambana na Ujangili kutoka Msumbiji wakibadilishana mawazo na uzoefu na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Bw. Valentino Mlowola walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam tarehe 23/11/2016.