Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi afungua mdahalo wa maadili kwa wanafunzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na waandishi wa habari katika mdahalo wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam tarehe 22/11/2016.
Wanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko wakiwa na mwalimu wao Mwl. Mercy Makundi wakisiliza mada katika Mdahalo wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa uliyofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam tarehe 22/11/2016.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma Dkt. Laurent Shirima akifungua mdahalo wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam tarehe 22/11/2016
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Valentino Mlowola akizungumza katika mdahalo wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu,Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam tarehe 22/11/2016
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Valentino Mlowola akiongea na waandishi wa habari katika mdahalo wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam tarehe 22/11/2016 ambapo amesisitiza juu ya maadili mema kuwa mbinu mojawapo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimsikiliza mwanafunzi kutoka shule ya msingi Grace akichangia hoja katika mdahalo wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam uliofanyika tarehe 22/11/2016.