Mhe. Angellah Kairuki azindua maazimisho ya kitaifa ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu 2016

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki(Mb) akitoa hotuba ya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa iliyofanyika TAKUKURU Makao Makuu, Novemba 10, 2016.

2

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki(Mb) akimkabidhi vitabu Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Valentino Mlowola wakati wa uzinduzi uliyofanyika TAKUKURU Makao Makuu, Novemba 10, 2016.

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki(Mb) akikata utepe wakati wa uzindunzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa iliyofanyika TAKUKURU Makao Makuu, Novemba 10, 2016.

4

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki(Mb) akizindua Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa iliyofanyika TAKUKURU Makao Makuu, Novemba 10, 2016.