JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

DAUD MOSES MWAKALIPUKA

FOMU YA MAELEZO YA MSHITAKIWA
JINA LA MSHITAKIWA:   DAUD MOSES MWAKALIPUKA
JINSIA (ME/KE): ME
KAZI ANAYOFANYA:  AFISA MIFUGO MSAIDIZI – KATA YA KIPANDE
MKOA:  RUKWA
WILAYA:  NKASI
URAIA:  MTANZANIA
MWAKA WA KUZALIWA:  1971
NAMBA YA JALADA:  PCCB/RK/ENQ/02/2018
NAMBA YA KESI:  CC NO. 22/2018
MAELEZO YA KOSA:  KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA
KIFUNGU CHA SHERIA:  K/F. 15(1) (a) CHA PCCA No.11/2007
JINA LA MAHAKAMA:  MAHAKAMA YA WILAYA NKASI
TAREHE YA HUKUMU:  22/11/2018
ADHABU ILIYOTOLEWA:  KIFUNGO CHA MIAKA MITATU (3) JELA AU FAINI YA TSH. 1,500,000/= NA MSHATAKIWA ALILIPA FAINI YA TSH 1,500,000/=