JINA LA MSHITAKIWA: OMARY HASHIM KITA
JINSIA (ME/KE): ME
KAZI ANAYOFANYA: EX – VEO SUKURO - SIMANJIRO
MKOA/ WILAYA: SIMANJIRO/MANYARA
URAIA: MTANZANIA
MWAKA WA KUZALIWA: 1961
NAMBA YA KITAMBULISHO:
NAMBA YA JALADA: PCCB/MYR/ENQ/35/2017
NAMBA YA KESI: CC.74/2018
MAELEZO YA KOSA: UBADHIRIFU WA MALI YA UMMA
KIFUNGU CHA SHERIA: K/F CHA 28 CHA PCCA No. 11/2007
JINA LA MAHAKAMA: MAHAKAMA YA WILAYA YA SIMANJIRO
TAREHE YA HUKUMU: 25/02/2019
ADHABU ILIYOTOLEWA: ALIHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU
JELA AU KULIPA FINI YA Tshs. 2,000,000.00. ALILIPA FAINI