JINA LA MSHITAKIWA: EMMANUEL MARK NYAMBO
JINSIA (ME/KE): ME
KAZI ANAYOFANYA: AFISA UTUMISHI H/W - SIMANJIRO
MKOA/ WILAYA: SIMANJIRO/MANYARA
URAIA: MTANZANIA
MWAKA WA KUZALIWA: 1982
NAMBA YA KITAMBULISHO:
NAMBA YA JALADA: PCCB/MYR/ENQ/37/2015
NAMBA YA KESI: CC.143/2017
MAELEZO YA KOSA: USHWA KATIKA AJIRA – KUOMBA NA KUPOKEA
RUSHWA
KIFUNGU CHA SHERIA: K/F CHA 20(1)(2) & 31 VYA PCCA No. 11/2007
JINA LA MAHAKAMA: MAHAKAMA YA WILAYA YA SIMANJIRO
TAREHE YA HUKUMU: 29/03/2019
ADHABU ILIYOTOLEWA: ALIHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI
JELA AU KULIPA FINI YA Tshs. 2,000,000.00. ALILIPA FAINI