PICHA: JINA: CHARLES ITUNDULA MATIKO JINSIA (ME/KE): ME KAZI ANAYOFANYA: MWENYEKITI BARAZA LA ARDHI KATA YA MIHINGO MKOA/ WILAYA: MARA, BUNDA URAIA: MTANZANIA MWAKA WA KUZALIWA 1956 NAMBA YA KITAMBULISHO: NAMBA YA JALADA: PCCB/MU/ENQ/22/2018 NAMBA YA KESI: COR. C. 04/2018 MAELEZO YA KOSA: KUOMBA NA KUPOKEA TSH 25,000/= ILI AWEZE KUMPATIA NAKALA YA HUKUMU MLALAMIKAJII ILI AWEZE KWENDA KUKATA RUFAA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA YA MUSOMA KIFUNGU CHA SHERIA: K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007.
JINA LA MAHAKAMA: MAHAKAMA YA WILAYA - BUNDA TAREHE YA HUKUMU: 26.11.2018 ADHABU ILIYOTOLEWA: KULIPA FAINI YA TSH 500,000/= AU KIFUNGO CHA
MIAKA MITATU JELA.