MHESHIMIWA RAIS DKT. J. P. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UTENDAJI YA MWAKA KUTOKA TAKUKURU

ikulu

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Mwaka 2014 - 2015 ya utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bw. Valentino Mlowola, Ikulu jijini Dar es Salaam.

ikulu 3

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Mhandisi John Kijazi Taarifa ya Mwaka ya utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Ikulu jijini Dar es Salaam.

ikulu 2

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na  Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi John Kijazi wapili kulia; Dkt. Tulia Ackson wakwaza kulia; Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah  wa kwanza kushoto; Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU,  Bw.Valentino Mlowola Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Prosecution

SAKATA LA ESCROW: VIGOGO WA BOT, TRA, TANESCO, REA NA ARDHI WAPANDISHWA KIZIMBANI 11 Sep 2015

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania – TAKUKURU, imewafikisha katika mahakama...

More detail
MAWAZIRI WAWILI WA ZAMANI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA TISA 10 Sep 2015

  Mawaziri wawili wa zamani, Basil Mramba (Fedha) na Daniel Yona (Nishati na Madini), wamehukumiwa...

More detail
Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Songea anaswa kwa Rushwa 10 Sep 2015

Mnamo tarehe 03/03/2015 TAKUKURU ilipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuwa Mwanasheria wa Halmashauri...

More detail