KUTOKA MAHAKAMANI

IMG 2806

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa bonde la Mto Rufiji Bw. Aloyce Masanja(katikati) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu tuhuma za utakatishaji fedha. Machi 16,2016

IMG 3303

Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Shirika la ndege Tanzania(ATCL) Bw. David Mataka akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kughushi, matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara. Machi 15, 2016.

IMG 3306

Mwanasheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa manunuzi (PPRA) Bi. Bertha Soka na Afisa Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA bW. Ramadhani Mlinga wakipandishwa kizimbani mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara. Machi 15,2016

 

 

Prosecution

SAKATA LA ESCROW: VIGOGO WA BOT, TRA, TANESCO, REA NA ARDHI WAPANDISHWA KIZIMBANI 11 Sep 2015

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania – TAKUKURU, imewafikisha katika mahakama...

More detail
MAWAZIRI WAWILI WA ZAMANI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA TISA 10 Sep 2015

  Mawaziri wawili wa zamani, Basil Mramba (Fedha) na Daniel Yona (Nishati na Madini), wamehukumiwa...

More detail
Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Songea anaswa kwa Rushwa 10 Sep 2015

Mnamo tarehe 03/03/2015 TAKUKURU ilipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuwa Mwanasheria wa Halmashauri...

More detail