RATIBA YA VIPINDI VYA REDIO MWEZI SEPTEMBA

SIKU NA TAREHE KITUO CHA REDIO SAA MADA

Alhamisi (1.9.2016)

Sibuka Fm 2:00 – 3:00 Asubuhi Umuhimu wa Maadili katika Utumishi wa Umma.
TBC Taifa 9:45 – 10:00 Jioni Nafasi ya Wadau kwenye Mapambano dhidi ya Rushwa - I

Alhamisi (8.9.2016)

   

Sibuka Fm 2:00 – 3:00 Asubuhi Udhibiti wa Mianya ya Rushwa katika Manunuzi ya Umma.
TBC Taifa 9:45 – 10:00 Jioni Nafasi ya Wadau kwenye Mapambano dhidi ya Rushwa - II
 

Prosecution

SAKATA LA ESCROW: VIGOGO WA BOT, TRA, TANESCO, REA NA ARDHI WAPANDISHWA KIZIMBANI 11 Sep 2015

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania – TAKUKURU, imewafikisha katika mahakama...

More detail
MAWAZIRI WAWILI WA ZAMANI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA TISA 10 Sep 2015

  Mawaziri wawili wa zamani, Basil Mramba (Fedha) na Daniel Yona (Nishati na Madini), wamehukumiwa...

More detail
Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Songea anaswa kwa Rushwa 10 Sep 2015

Mnamo tarehe 03/03/2015 TAKUKURU ilipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuwa Mwanasheria wa Halmashauri...

More detail