JINAISAAC CHACHA NG’ARIBA
JINSIA (ME/KE): ME
KAZI ANAYOFANYA: MKURUGENZI MTENDAJI – KITAJI INVESTMENT LTD
MKOA/ WILAYA: MARA, MUSOMA
URAIA: MTANZANIA
MWAKA WA KUZALIWA1959
NAMBA YA KITAMBULISHO:
NAMBA YA JALADA: PCCB/MU/ENQ/34/2013
NAMBA YA KESI: ECO. 04/2015
MAELEZO YA KOSA: KUISABABISHIA SERIKALI HASARA YA SH. 5,666,981 KUPITIA UKARABATI WA JENGO LA WANACHAMA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MARA.
KIFUNGU CHA SHERIA: JEDWALI LA KWANZA, KIFUNGU CHA 57(1) NA 60(2) VYA SHERIA YA UHUJUMU UCHUMI SURA YA 200 TOLEO LA 2002.
JINA LA MAHAKAMA: MAHAKAMA YA WILAYA - MUSOMA
TAREHE YA HUKUMU: 27.11.2018
ADHABU ILIYOTOLEWA: KULIPA FAINI YA TSH 500,000/= AU KIFUNGO CHA
MIAKA MITATU JELA PAMOJA NA KUREJESHA FEDHA SH. 5,666,981 SERIKALINI KUTOKANA NA HASARA ALIYOISABABISHIA SERIKALI.