JINACHARLES ITUNDULA MATIKO
JINSIA (ME/KE): ME
KAZI ANAYOFANYA: MWENYEKITI BARAZA LA ARDHI KATA YA MIHINGO
MKOA/ WILAYA: MARA, BUNDA
URAIA: MTANZANIA
MWAKA WA KUZALIWA1956
NAMBA YA KITAMBULISHO:
NAMBA YA JALADA: PCCB/MU/ENQ/22/2018
NAMBA YA KESI: COR. C. 04/2018
MAELEZO YA KOSA: KUOMBA NA KUPOKEA TSH 25,000/= ILI AWEZE KUMPATIA NAKALA YA HUKUMU MLALAMIKAJII ILI AWEZE KWENDA KUKATA RUFAA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA YA MUSOMA
KIFUNGU CHA SHERIA: K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007.
JINA LA MAHAKAMA: MAHAKAMA YA WILAYA - BUNDA
TAREHE YA HUKUMU: 26.11.2018
ADHABU ILIYOTOLEWA: KULIPA FAINI YA TSH 500,000/= AU KIFUNGO CHA
MIAKA MITATU JELA.