Mshitakiwa ANJELA KAMONGA
Cheo MWALIMU
JaladaPCCB/NJB/ENQ/27/2016
KosaKUFICHA UTAMBULISHO K/F 372, KUJIPATIA USAJILI KWA NJIA ZA UDANGANYIFU K/F 309 VYA KANUNI YA ADHABU.
MkoaNjombe
Namba ya KesiCC.177/2016
AdhabuMIAKA 6 GEREZANI – ALIRUKA DHAMANA. ANATAFUTWA ATUMIKIE KIFUNGO MIAKA 6 GEREZANI.
Sababu ya Kutafutwa.ILI AUNGANISHWE KWENYE SHTAKA LA JINAI NAMBA CC.177/2016