Mkataba wa Huduma kwa Mteja ni makubaliano kati ya mtoaji na mtumiaji wa huduma.
Kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11 ya 2007, Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni mtoaji wa huduma na mteja ni
mtumiaji wa huduma zetu.

Kusoma zaidi bofya hapa