Kutoa huduma bora kwa kuzingatia haki na usawa

Kuzingatia uadilifu na ukweli kwa kiwango cha juu

Kufanya kazi kwa bidii, maarifa na kwa kushirikiana ili kutimiza malengo

Kuzingatia uwajibikaji

Kufanyakazi kwa kuzingatia maslahi ya Umma

Kufanya kazi kwa heshima na uungwana