Dira ya TAKUKURU

Kuwa Taasisi imara na madhubuti ya kuzuia na kupambana na rushwa

Dhima  ya TAKUKURU

TAKUKURU imedhamiria  kuzuia na kupambana na rushwa

Dhima ya Idara ya Uchunguzi

Kubaini, kuchunguza na kuendesha mashtaka ya vitendo vya rushwa na vile vilivyo na mwelekeo wa rushwa

Dhima ya Idara ya Elimu kwa Umma

Kuishirikisha jamii katika mapambano dhidi ya rushwa

Dhima ya Idara ya Utafiti na Udhibiti

Kuzuia vitendo vya rushwa kupitia uimarishaji wa mifumo katika sekita za umma na binafsi.

Dhima ya Idara ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini

Kuiwezesha Tasisi kuwa na mifumo sanifu na thabiti ya mipango,ufuatiliaji,bajeti, na tathimini katika ngazi zote za utekelezaji

Dhima ya Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu

Kuipatia Taasisi mahitaji yake ya watumishi wenye sifa na vitu vingine kwa wakati na sehemu sahihi